Tag Archives: daresalaam

BREAKING NEWS: MO Ajiuzuru uwenyekiti wa Simba

Mo Dewji ameandika ujumbe kwenye Akaunti yake ya instagram kuwa amejihuzuru uwenyekiti wa bodi ya simba na sas atakuwa kama Mwekezaji. Mo ameandika hivyo baada ya Club yake ya Simba fc kupokea kipigo cha 1 – 0 na timu ya Mtibwa katika fainali za kombe la mapinduzi zanzibar.   Ni …

Read More »