Tag Archives: dar

Meya Mwita aifuta kesi yake Ya Kupinga Kuvuliwa Umeya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kwa gharama kesi ya Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ya kutaka kusitisha mchakato wa kumuondoa madarakani. Hatua hiyo inatokana na Mwita kuwasilisha maombi hayo kupitia Wakili wake Hekima Mwasipu mbele ya Hakimu Mkazi Janeth Mtega. Wakili Mwasipu ameieleza mahakama kwamba …

Read More »