Tag Archives: COVID-19 yauwa zaidi ya Wamarekani 200

COVID-19 yauwa zaidi ya Wamarekani 200,000

Idadi ya waliokufa kutokana na janga la virusi vya corona nchini Marekani imepindukia watu 200,000, ikiwa ni kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, Hatua hiyo mbaya imefikiwa baada ya takribani miezi saba tangu Marekani itangaze kifo chake cha kwanza kilichotokana na janga la virusi vya corona, …

Read More »