Tag Archives: corona

Waliofariki kwa corona China wafikia 2,118

Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka na kufikia Watu 2118, huku uwezekano wa vifo kuongezeka ukiwa ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,576 hii ni kwa China pekee. Wagonjwa 11,864 wa corona wako mahututi huku wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wakiongezeka na kufikia …

Read More »

Ivory Coast inahofia kuwa na mgonjwa mwenye virusi vya corona

Mwanafunzi ambaye jina lake halikutajwa, alikuwa ametokea China, mjini Beijing na kurudi kwao Afrika magharibi siku ya jumamosi, sasa anafanyiwa vipimo zaidi baada ya kukutwa na mafua, ambayo ni moja ya dalili za ugonjwa wa corona. Imethibitishwa kwamba mgonjwa huyo atakuwa wa kwanza barani Afrika kufanyiwa vipimo hivyo vya virusi …

Read More »