Tag Archives: congo

DRC: Majeshi yafanikiwa kuteka ngome ya waasi wa ADF

Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanasema kuwa yamefanikiwa kuteka ngome ya waasi mashariki mwa nchi hiyo ambako mashambulio kadhaa yamekuwa yakipangwa. Kambi ya Madina, inapatikana katika eneo lenye misitu na imekuwa ikitumiwa kwa zaidi ya miongo miwili na waasi wa Allied Democratic Forces (ADF). Kutekwa kwake kwa kambi …

Read More »

DR Congo: Vifo kutokana na ugonjwa wa surua vyafika 6000

Shirika la Afya Duniani WHO limesema nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo mlipuko wa ugonjwa wa surua mkubwa zaidi ulimwenguni umesababisha vifo vya maelfu ya watu ijapokuwa ugonjwa huo unaweza kukingwa kwa chanjo. Idadi ya watu waliokufa kutokana na mlipuko wa maradhi ya surua imepindukia 6,000 katika Jamhuri ya kidemokrasia …

Read More »