Tag Archives: CLATOUS CHAMA AITWA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

CLATOUS CHAMA AITWA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

NYOTA wa Klabu ya Simba, Clatous Chama ameitwa kwenye timu ya Taifa ya Zambia ili akaitumike timu yake hiyo maarufu kama Chipolopolo. Kwa sasa timu ya Zambia ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa kufuzu Afcon ambapo itamenyana na Botswana, Novemba 12 nchini Zambia. Kiungo huyo ambaye amekuwa kwenye ubora ndani …

Read More »