Tag Archives: china

Serikali ya China kuwapatia raia wake fedha ya shopping

Serikali ya China imepanga kuanza utaratibu wa kuwapa wananchi wake vocha za kufanyia manunuzi mtandaoni, madukani, mahoteli, utalii na michezo kama njia ya kuongeza kasi ya ukuaji uchumi. Tayari dola bilioni 1.7 zimetengwa kwa ajili hiyo. Manunuzi katika biashara za rejareja yamepungua kwa 20.4% tangu mwaka uanze kufuatia ugonjwa wa …

Read More »

China yaionya Uingereza kwa kujitolea kuwapokea raia wa HongKong

China imeionya Uingereza kuingilia masuala ya Hong Kong baada ya taifa hilo kuapa kuwafungulia milango raia wapatao milioni tatu wa HongKong ambao wataondoka endapo sheria ya usalama wa taifa itapitishwa katika jimbo hilo. Hatua ambayo China imesema haitakuwa na matokeo chanya. Marekani na Uingereza zimekuwa zikiikosoa hatua hiyo ya China …

Read More »