Tag Archives: Chanjo dhidi ya corona yaweza kuwa tayari mwishoni mwa 2020

Chanjo dhidi ya corona yaweza kuwa tayari mwishoni mwa 2020

Tedros Adhanom Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), amesema kuwa chanjo dhidi ya corona inaweza kuwa tayari mwishoni mwa mwaka. Ghebreyesus alizungumza katika “kikao maalum juu ya kupambana na Covid-19” cha Bodi ya Utendaji ya WHO, kilichomalizika jana huko Geneva, Uswizi. “Tutahitaji chanjo (ya Covid-19) na tunatumahi …

Read More »