Tag Archives: CHAMA KUIKOSA YANGA UWANJA WA MKAPA KESHO

CHAMA KUIKOSA YANGA UWANJA WA MKAPA KESHO

MAMBO ni mazito kwa mabingwa watetezi Simba ambao kesho wanakutana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa na huenda kesho wakakosa jumla huduma ya mtambo wao wa mabao Clatous Chama. Simba ikiwa imefunga mabao 21 Chama amehusika kwenye mabao saba ambapo ametoa pasi tano za …

Read More »