Tag Archives: chadema

CHADEMA yaonya wagombea watakaosaliti chama

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya Victoria inayojumuisha mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera, Zacharia Obad ametoa onyo kwa wanachama wa chama hicho waliopitishwa kugombea nafasi mbalimbali kutoleta visingizio ili wajitoe kushiriki uchaguzi Mkuu kwani kufanya hivyo ni usaliti kwa Chama. Alitoa onyo hilo wakati …

Read More »

Msigwa, Lissu wawasilisha barua ya kutia nia ya kuwania Urais

Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa pamoja na Muheshimiwa Tundu Lissu wametangazwa kuwasilisha barua ya kutia niaya kuwania Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanial Kwa nyakati tofauti wamewasilisha barua hizo kwa katibu mkuu wa chama hicho ambapo Lissu anadaiwa kuongea na …

Read More »

CHADEMA Wataja Sababu Ya Freeman Mbowe Kuitwa Polisi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia kwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho Tumaini Makene, kimesema kuwa Jeshi la Polisi Kinondoni lilimuita Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, ili kujua alikuwa anataka kuhutubia kitu gani kwa umma. Makene ameyabainisha hayo leo Mei 15, 2020, na …

Read More »

CHADEMA Wafunguka Baada Ya Sumaye Kutangaza Kukihama Chama Hicho

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa na kauli za  mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye aliyetangaza kukihama chama hicho. Katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam uliofanyika leo, Sumaye ametangaza kujitoa Chadema huku akitoa tuhuma mbalimbali kwa  mwenyekiti wa chama …

Read More »

BREAKING NEWS : Sumaye aondoka Rasmi CHADEMA

Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye leo Desemba 4, 2019 ametangaza kuondoka CHADEMA. Akiongea leo kwenye mkutanao wake na waandishi wa Habari, Sumaye amesema ameamua kufanya hivyo kutokana na figisu alizofanyiwa baada ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa. Ameeleza kuwa alitaka kugombea nafasi ya Uenyekiti ili …

Read More »