Tag Archives: CCM Yashinda Viti Vyote Udiwani Sengerema

CCM Yashinda Viti Vyote Udiwani Sengerema, Tarime Mjini

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda viti vyote 47 vya udiwani katika majimbo ya Sengerema na Buchosa wilayani Sengerema. Pia, chama hicho kimeshinda uchaguzi katika kata zote nane za jimbo la Tarime Mjini katika uchaguzi uliofanyika jana. Wakati msimamizi wa uchaguzi jimbo la Sengerema, Magesa Mafuru akisema CCM imeshinda kata zote …

Read More »