Tag Archives: ccm

CCM Yaahidi Kuheshimu Maamuzi Ya Umma Uchaguzi Mkuu 2020

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019. Dkt. Bashiru ameeleza kuwa, CCM itakuwa mfano katika kuheshimu uamuzi wa umma katika …

Read More »