Tag Archives: c c m

Onyo Wanaokiuka Kanuni za Uchaguzi CCM 2020

Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Philipo Mangula ametoa onyo na kuahidi kuanza kuwachukulia hatua kali za kimaadili kupitia kamati za ngazi tofauti za siasa ndani ya chama wanasiasa wote ambao wameanza kupita kwa wananchi na kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali jambo ambalo kinyume na kalenda ya chama. Mangula …

Read More »