Tag Archives: burundi

Mgombea wa chama tawala Everiste Ndayishimye ashinda urais

Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita. Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo. Kwa kuwa Ndayishimiye amepata …

Read More »

Wanahabari 4 wahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 2 jela

Mahakama moja magharibi mwa Burundi Alhamisi imewahukumu kifungo cha miaka 2 na miezi 6 wanahabari 4 wa gazeti la Iwacu, kwa shutma za kufanya jaribio la kuvuruga usalama wa taifa, gazeti hilo limeripoti kwenye mtandao wake wa twitter. Iwacu imeongeza kuwa dereva wake aliyekuwa anashutumiwa pamoja na wanahabari hao yeye …

Read More »