Tag Archives: Bunge Lamthibitisha Majaliwa Kwa 100% Kuwa Waziri Mkuu

Bunge Lamthibitisha Majaliwa Kwa 100% Kuwa Waziri Mkuu

Bunge la Tanzania limemuidhinisha mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya kupigiwa kura za ndiyo 350. Uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu umefanywa na Rais John Magufuli leo Alhamisi Novemba 12, 2020 na jina lake kuwasilishwa bungeni na mpambe wa Rais. Baada ya kuwasilishwa, Spika Job …

Read More »