Tag Archives: Buhari atoa wito amani huku jopo likianza uchunguzi wake

Buhari atoa wito amani huku jopo likianza uchunguzi wake

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametoa wito wa kudumishwa kwa amani huku jopo likianza kuchunguza unyanyasaji unaotekelezwa na polisi hii leo Jumatatu, uliotokea katika mji wa kibiashara wa Lagos. Jopo hilo la uchunguzi ni miongoni mwa mahitaji ya waandamanaji wanaotaka maafisa wa polisi watakaopatikana na makosa ya unyanyasaji wachukuliwe hatua …

Read More »