Na Ndalike Sonda,Kahama Baadhi ya wajasiriamali katika mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamesema, kwa kiasi kikubwa uchumi wao umeimarika kutokana na kupata fursa ya kuuza bidhaa mbalimbali ikiwamo vinywaji na chakula kwenye mechi za bonanza la Kahama fm 2019 lililofikia tamati novemba 10, mwaka huu. Wakizungumza leo kwenye kipindi cha …
Read More »