Tag Archives: Biteko

Waziri Biteko Atoa Elimu Kwa Wafanyabiashara Wa Madini

Waziri wa Madini Doto Biteko amewataka wafanyabiashara wa Madini ya Vito kote nchini kuhakikisha wanafanya biashara zao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa na Serikali. Waziri Biteko ameyasema hayo Desemba 21, 2019 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Madini (Dealers na Brokers) kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mount Meru, …

Read More »