Tag Archives: BILIONI 66.8 KUTUMIKA UJENZI WA BARABARA YA TANGA HADI PANGANI

BILIONI 66.8 KUTUMIKA UJENZI WA BARABARA YA TANGA HADI PANGANI

UJENZI wa kiwango cha lami wa barabara ya Tanga hadi Pangani yenye urefu wa kilomita 50 unatarajiwa kutumia bilioni 66.8 na utamalizika kwa kipindi cha miaka miwili. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad) Mkoa wa Tanga Mhandisi Alfred Ndumbaro alisema kwamba tayari mkandarasi alikwisha kupatikana wa kampuni kutoka nchini …

Read More »