Tag Archives: bijampola

Kigogo C C M kahama amiliki danguro

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, ANAMRINGI MACHA  amefanya ziara ya kushtukiza  katika baa ya Bijampola iliyoko Mtaa wa Nyihogo mjini Kahama na kukuta nyumba bubu ya kulala wageni ambayo inatumiwa  kama danguro la wanawake wanaofanya biashara haramu ya Ngono. Akizungumza na wanawake aliowakuta katika vyumba ya baa hiyo, …

Read More »