Tag Archives: Biden “wafanya mdahalo” kwa vituo tafauti vya TV

Trump, Biden “wafanya mdahalo” kwa vituo tafauti vya TV

Wagombea wakuu wa urais nchini Marekani, Donald Trump wa Republican na Joe Biden wa Democratic, wamejitokeza katika vituo viwili tafauti vya televisheni, kila mmoja akimtuhumu mwenzake, juu ya namna anavyouchukulia ugonjwa wa COVID-19. Akihojiwa na kituo cha televisheni cha NBC mjini Miami, Trump alikataa kusema waziwazi, endapo wakati wa mdahalo …

Read More »