Tag Archives: BARAZA LA MAWAZIRI KUKOMA SHUGHULI ZAKE LEO

BARAZA LA MAWAZIRI KUKOMA SHUGHULI ZAKE LEO

BARAZA la Mawaziri limekoma leo kuendelea na shughuli za kikazi mara atakapoapishwa Rais Mteule, Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma jana, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya kuapishwa kwa …

Read More »