Tag Archives: bangradesh

Madaktari 251 wapata maambukizi ya Virusi vya Corona

Takriban madaktari 251 nchini Bangladesh wamepata maambukizi ya Corona Virus, Taasisi ya Madaktari (BDF) imelalamikia ukosefu wa vifaa kinga (PPE) kuwa chanzo cha Madaktari kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa Kufuatia ongezeko la waathirika wa COVID 19 nchini humo, Serikali imekuwa na changamoto ya kuwalinda watumishi wa afya ili wasipate maambukizi …

Read More »