Tag Archives: BABATI

Wakulima Babati watakiwa kugomea vipimo visivyo halali.

Na Mwandishi wetu, Babati WAKULIMA wametakiwa kugomea vipimo visivyo rasmi vya magunia na madebe wakati wa kupima mazao yao kwani vinawanyonya hivyo watumie mizani ili kuepuka kudhulumiwa haki zao. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Babati, John Nchimbi aliyasema hayo kwenye mkutano wa 13 wa Mtandao wa vikundi vya …

Read More »