Tag Archives: Baba aliyetaka kuozesha mwanafunzi wa miaka 12 atiwa mbaroni

Baba aliyetaka kuozesha mwanafunzi wa miaka 12 atiwa mbaroni

Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limefanikiwa kuzima jaribio la mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 12,aliyetaka kuozeshwa na wazazi wake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Jonathan Shanna,alisema wanashikilia watu wawili akiwemo baba mzazi wa binti huyo, Saiboka Memriki na mwanaume aliyetaka kumuoa binti ambaye ana umri …

Read More »