Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha, zimesababisha vifo vya watu wawili wilayani Arumeru. Akitoa taarifa za ya mwendendo wa mvua ambazo zimenyesha kwa siku tatu mfululizo, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, alisema mvua hizo zimeleta madhara makubwa baada ya watu wawili kufariki jana katika …
Read More »Tag Archives: arusha
Kigwangalla Amuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Awasamehe Waliosambaza Picha za Uharibifu wa Barabara Hifadhi ya Ngorongoro
Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla amewaombea msamaha waongoza utalii ambao walisambaza video kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha uharibifu wa barabara kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro. Kupitia akaunti yake ya twitter, Dk Kigwangalla ameandika kuwa amemuomba Mkuu wa mkoa wa Arusha Nchini Tanzania, Mrisho Gambo …
Read More »Mrisho gambo sina mpango wa kugombea ubunge….
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema hana Mpango wa kugombea Ubunge, tofauti na ambavyo imekuwa ikidhaniwa na baadhi ya Watu wakiwemo Wanasiasa wa Mkoa wa Arusha. Gambo amesema kazi ya kuleta maendeleo anayoifanya katika Mkoa wa Arusha, ni katika Utekelezaji wa kawaida wa majukumu aliyopewa na Mamlaka yake …
Read More »Naibu Waziri wa Madini Ladslausi Nyongo Ataka Wafanyabiashara Wa Madini Wasikamatwe Kamatwe Hovyo
NAIBU Waziri wa Madini Ladslausi Nyongo amepiga marufuku tabia ya kamatakamata ya wafanyabiashara wa madini nchini waliohifadhi madini maeneo wanayotaka kwa mujibu wa sheria. Aidha katika kipindi cha mwaka wa fedha 2018/2019 Mkoa wa Arusha umekusanya zaidi ya Sh.bilioni 30 zinazotokana na madini ya Vito ya aina mbalimbali. Akizungumza jana …
Read More »Wanahabari wametakiwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF)
Wanahabari nchini wametakiwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili waweze kupata matibabu ya uhakika pindi wanapopata magonjwa na kutokuathiri majukumu yao ya kuhabarisha umma bila vikwazo vya kiafya . Hayo yameelezwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF) ,Christopher …
Read More »