Tag Archives: ARSENAL YAPINDUA MEZA KIBABE

ARSENAL YAPINDUA MEZA KIBABE

ARSENAL imeanza kwa ushindi wa mabao 2-1 ndani ya kundi B kwenye mashindano ya Europa League baada ya kupindua meza kibabe wakitokea nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya Rapid Wien. Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Allianz Stadion, Taxiarchis Fountas alianza kupachika bao la kwanza kwa Rapid Wien lililopinduliwa na …

Read More »