Tag Archives: Anaweza Kudumisha Muungano

Majaliwa: Mchagueni Dkt. Magufuli, Anaweza Kudumisha Muungano

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Zanzibar wamchague Dkt. John Pombe Magufuli kwa sababu ndiye mgombea pekee mwenye uwezo wa kudumisha Muungano. “Nawaletea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya makubwa kwenye uongozi wake uliopita. Hata …

Read More »