Tag Archives: Anastahili Kupewa Nchi

Majaliwa: Dkt. Magufuli Ni Kiongozi, Anastahili Kupewa Nchi

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Dkt. Magufuli ni kiongozi anayestahili kupewa nchi kwa sababu ana uwezo wa kuongoza. “Dkt. Magufuli ana uwezo wa kupewa nchi kwa sababu suala la kupewa nchi siyo la mzaha. Wamejitokeza wengi lakini siku …

Read More »