Tag Archives: Aliyekuwa Kocha wa Mtibwa Sugar aibukia Ihefu

Aliyekuwa Kocha wa Mtibwa Sugar aibukia Ihefu

Zuber Katwila baada ya jana Oktoba 18 kubwaga manyanga ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho alikuwa nacho kwa muda mrefu ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Ihefu ya Mbeya. Katwila anachukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6 ndani ya Ihefu FC kutokana na mwendo mbovu wa …

Read More »