Tag Archives: Aliekutwa na nyama ya twiga atakiwa kulipa Milioni 333

Aliekutwa na nyama ya twiga atakiwa kulipa Milioni 333

Mshtakiwa katika shauri namba 11/2018 ya uhujumu uchumi na makosa ya kupanga Omari Bokoi amehukumiwa kulipa faini ya Milioni 333 au kwenda jela miaka 20 baada ya Mahakama ya Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kumkuta na hatia ya kupatikana na vipande vya nyama ya Twiga . Hukumu hiyo iliyotolewa na …

Read More »