Tag Archives: Alichokisema Maalim Seif Hamad akifunga kampeni Zanzibar

Alichokisema Maalim Seif Hamad akifunga kampeni Zanzibar

Chama cha ACT -Wazalendo kimehitimisha kampeni zake za Urais visiwani Zanzibar, ambapo mgombea urais kupitia chama hicho, Maalim Seif Hamad, ametoa tathimini juu ya kampeni zake alizozifanya visiwani humo. Akizungumza jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja Visiwani humo Maalim amewahimiza Wazanzabari kujitokeza siku ya kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua …

Read More »