Tag Archives: Alichokisema Hussein Mwinyi akifunga kampeni Zanzibar

Alichokisema Hussein Mwinyi akifunga kampeni Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Hussein Mwinyi amesema akipata ridhaa ya kuongoza ataboresha miundombinu ya umeme na kuwapunguzia gharama za nishati hiyo wananachi wasio na uwezo. Dk Mwinyi alisema hayo jana kwenye mkutano wake wa kufunga kampeni uliofanyika uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti Unguja mjini. Alisema dhamira …

Read More »