Tag Archives: ajari

Ajali Ya Teni Yaua Watumishi Watano TRC

Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania -TEC unatangaza taarifa za Vifo vya watumishi 5 wa TRC.Vifo hivyo vimesababishwa na ajali ya Treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda tarehe 22.3.2020. Eneo hili lipo katika Reli inayotoka Ruvu Junction  mpaka Mruanzi …

Read More »

Wawili wafariki baada ya Hiace kugongana na Basi Kahama.

Watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali  iliyohusisha basi la Napol Express kugongana uso kwa uso na Hiache katika eneo la Karagwa Kata ya Ntobo Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea baada ya gari aina ya Toyota Hiace yenye namba za …

Read More »