Tag Archives: ajall

Watu wawili wafariki dunia kwa ajali ya gari kahama

Watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali¬† iliyohusisha basi la Napol Express kugongana uso kwa uso na Hiache katika eneo la Karagwa Kata ya Ntobo Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea baada ya gari aina ya Toyota Hiace yenye namba za …

Read More »