Tag Archives: Ajali mbaya yatokea Chang’ombe Dar

Ajali mbaya yatokea Chang’ombe Dar

Kutoka Temeke, DSM imetokea ajali Alfajiri ya leo October 05,2020 ikihusisha Daladala iliyobeba abiria inayofanya safari zake Temeke – Muhimbili na Gari kubwa la mchanga, Watu kadhaa wanahofiwa kufariki Dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali hiyo ambayo imetokea kwenye mataa ya Chang’ombe. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Aboubakar …

Read More »