Tag Archives: Ajali Mbaya ya Lori na Noah Yaua Watano Dodoma

Ajali Mbaya ya Lori na Noah Yaua Watano Dodoma

Watu 5 wamefariki na 2 kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na lori eneo la kibaigwa jijini Dodoma . Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto amethibitisha. Amesema ajali hiyo imesababishwa na uzembe wa dereva wa lori ambaye aliingia katikati ya barabara …

Read More »