Tag Archives: ajali

Watu 20 Wafariki India Baada Ya Jengo la Ghorofa 3 Kuporomoka

Idadi ya watiu waliofariki dunia kutokana na kuporomoka kwa jengo la makazi la ghorofa tatu magharibi mwa India Jumatatu wiki hii imengezeka hadi 20 na miili zaidi inatarajiwa kupatikana chini ya vifusi vya jengo hilo, maafisa wamesema leo Jumanne. Shughuli za uokoaji zinaendelea ili kupata manusura katika magofu ya jengo …

Read More »

Gari Laacha Njia na Kugonga wamachinga Mwanza, mmoja afariki

Mwanaume mmoja amefariki dunia na wengine kumi na moja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililoacha njia na kuwagonga wakiwa pembezoni mwa barabara ya Furahisha eneo la Mkunguni Jijini Mwanza. Tukio hilo limetokea majira ya saa 10:30 Alfajiri ambapo gari lenye namba za usajili T 946 DPL TOYOTA Crawn kuacha …

Read More »