Tag Archives: Ahukumiwa Miaka 30 Jela Kwa Kumbaka Mtoto Wake wa Kumzaa

Ahukumiwa Miaka 30 Jela Kwa Kumbaka Mtoto Wake wa Kumzaa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Mtaa wa Kimpungua, Manispaa ya Singida, Hamisi Mtanda (37) kwa kosa la ubakaji. Mtanda amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama kumtia hatiani kwa kosa la kufanya mapenzi na mtoto wake wa kike, mwenye umri wa …

Read More »