Tag Archives: Ahadi ya Tundu Lissu kwa wamachinga

Ahadi ya Tundu Lissu kwa wamachinga

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, amewaambia wakazi wa Mbalizi kuwa siku watakayo kiamini chama hicho ndio itakuwa siku ya mwisho kulipia vitambulisho vya wamachinga Lissu amesema akiwa anazungumza na wakazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, juu ya changamoto za wafanyabiasahara wadogo kwa wakubwa ambapo amesema kuwa huo …

Read More »