Tag Archives: acacia

Mgodi wa Buzwagi na Bulyanhulu yalipa Bilioni 1.5 za ushuru.

Kampuni ya uchimbaji madini ya Twiga Minerals Corporation¬† kupitia migodi yake ya dhahabu ya Buzwagi na Bulyanhulu imekabidhi hundi zenye thamani ya shilingi Bilioni 1.5 (1,535,821,894.85/=) kwa halmashauri ya wilaya ya Msalala na Kahama Mji ikiwa ni malipo ya ushuru wa huduma kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Juni …

Read More »