Tag Archives: 000 zaidi

Trump aapa kujibu shambulio la Iran mara 1,000 zaidi

Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kwamba shambulio lolote litakalofanywa na Iran litajibiwa mara 1,000 kwa ukubwa, baada ya ripoti kuwa Iran inapanga kulipiza kisasi baada ya kuuliwa jenerali wa ngazi ya juu Qasem Soleimani. Ripoti ya vyombo vya habari nchini Marekani, zimenukuu maafisa ambao hawakutajwa majina, wakisema kuwa mpango …

Read More »