Tag Archives: 000 Wafariki Kwa Corona Nchini Marekani

Watu 20,000 Wafariki Kwa Corona Nchini Marekani

Washington, Watu 1,920 wamekufa nchini Marekani kutokana na virusi vya corona katika kipindi cha saa 24 zilizopita na kuifanya nchi hiyo kuwa ya kwanza duniani kwa idadi kubwa ya vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa COVID-19 Taarifa iliyochapishwa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins imeonesha idadi ya vifo nchini Marekani imepindukia …

Read More »