Shule 10 Bora zilizoongoza Matokeo ya kidato cha Sita 2020.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2020.
Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa 21 August 2020 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Charles Msonde
Katika shule 10 bora kitaifa kwenye matokeo hayo, 8 ni za serikali na 2 ni za binafsi
Baraza la Mitihani Tanzania – NECTA  limetangaza Matokeo ya  kidato cha Sita 2020 na Ualimu 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *