“Kama bado kuna mchezaji wa mpira kinda anayetoka Tanzania anafikiri kutokana na kutokujua Kwake lugha ya kiingereza kutamfanya ashindwe kucheza professional basi aondoe huo wasiwasi kabisa,unaweza kujifunza kama nyongeza kurahisisha mawasiliano ila sio kigezo cha kufeli”-SAMATTA
