Roy Keane amtabiria Solskjaer kufukuzwa Man United

Kiungo wa zamani wa Man United ambaye anafanya kazi ya uchambuzi wa soka Sky Sports Roy Keane baada ya Man United kufungwa 1-0 na Arsenal katika uwanja wa Old Trafford ametabiria kocha Ole Gunnar Solskjaer kufukuzwa.

Keane ameeleza kwa wachezaji waliopo Man United Solskjaer akiendelea kuwa nao atafukuzwa kwa sababu ya uwezo mdogo ambao wamekuwa wakiuonesha.

“Baadhi ya wachezaji viwango vyao vilikuwa chini mnoishawishiki nao simuoni kiongozi, Ole atapoteza ajira yake kama ataendelea na wachezaji hawa, hicho ndio kitakachotokea”>>>Keane

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *