Ridhiwan Kikwete akabidhi vifaa tiba kituo cha afya Miono

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete, amekabidhi vifaa tiba katika kituo cha afya cha Miono,Mkoani Pwani vilivyotolewa kwa hisani ya taasisi ya kifedha ya Stanbic.

Akikabidhi vifaa hivyo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya chalinze, Ridhiwan amesema vifaa hivyo vitakuwa neema na mkombozi kwa mahitaji ya afya baada ya ukamilikaji chumba cha Upasuaji ambacho kitahudumia wananchi wa maeneo hayo hususan wakina mama wakati wa kujifungua.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *