Rais Magufuli ampigia simu Zitto Kabwe “amuombea heri”

Rais Dkt. Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma, amemuombea heri ili apone haraka na pia amewashukuru Madaktari na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Kalya na Hospitali ya Maweni kwa matibabu waliyompa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *