Msanii Dudubaya Aitwa BASATA
January 7, 2020
MICHEZO NA BURUDANI
812 Views
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemtaka msanii wa Bongo Fleva Tumaini Godfrey maarufu Dudubaya kufika katika ofisi za baraza hilo kesho Januari 7, kwa mahojiano zaidi baada ya kusambaa kipande cha video kikimuonesha akitoa kauli zisizokuwa na maadili.