Mo Dewji atoa neno kwa wanasimba

“Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakayeondoka SIMBA SC  Pia tutasajili mchezaji yoyote, kutoka popote kama Mwl. wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake, tutashuka kwa kishindo, hatuna maneno mengi lakini tupo” MO Dewji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *